1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati 'THU' hii hao (HOUSE) ni noma.
3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.
4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia "wee iba tu Mungu anakuona."
5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.
6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.
7. We mjinga mpaka ulifail blood test.
8. Wewe…
Continue
Posted on May 16, 2009 at 11:38pm — Comments